Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

P Funk kuachia ngoma yake mpya

P Funk Rtee P Funk kuachia ngoma yake mpya

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzalishaji mkongwe wa muziki Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk Majani’ ametangaza kuachaia rasmi singo yake mpya aliyoipa jina la ‘Tunashine’.

Mkongwe huyo wa muziki na mmiliki wa lebo na studio za Bongo Records, amesema singo hiyo ni ya kwanza kwenye albam yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni.

“Siku ya Ijumaa 10th March 2023 nitatambulisha rasmi single ya kwanza “TUNA$HINE” kutoka katika album yangu itakayotoka hivi karibuni. Napenda kuwapa taarifa wapenzi wote wa burudani wawe tayari kunipa masikio yao kuanzia Ijumaa hii,” amesema P Funk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live