Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

P Funk amtaka Marioo awe baba bora kama yeye

P Funk Amtaka Marioo Awe Baba Bora Kama Yeye.jpeg P Funk amtaka Marioo awe baba bora kama yeye

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

P Funk ametoa nasaha kwa vijana wake, Marioo na Paula kwa kuwataka wakaishi kwa upendo na wadumu kwenye ndoa.

P Funk ametoa kauli hiyo jana Aprili 17, 2024 kwenye baby shower ya binti yake huyo ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni.

Akimuelekeza Marioo, P Funk alimwambia awe baba bora.

“Omari @marioo_tz ninakuombea uwe baba bora na uwe mume bora muweze kudumu kwenye ndoa yenu kama ilivyo yangu ina miaka 14 hivi sasa,” alisema P Funk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live