Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

P Funk afunguka yanayoendelea kuhusu Paula na Kajala

5C9F32AF BEAD 4007 9928 EE7D636E7E13 660x400.jpeg P Funk afunguka yanayoendelea kuhusu Paula na Kajala

Tue, 20 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtayarishaji wa Mkongwe wa Muziki Bongo, P Funk Majani amefunguka baada ya kulizwa kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM kuhusiana na ishu ya mtoto wake Paula pamoja na Kajala kutokana na yale yanayoendelea mtandaoni.

P Funk amesema …>> “Nilishawaambia tangu mwaka jana kwamba Mimi nilishajitoa, nilishanyoosha mikono kwa Mtoto (Paula), Mtoto anatafuta laana alishaniambia wewe sio Baba yangu, Kajala sio Familia yangu nilifanya uamuzi mbaya kuzaa na Mtu ambaye sio sahihi kuwa Mama,

“Yanayoendelea kwa sasa hayanihusu, Mtu ameshakuambia wewe sio Baba yangu utafanya nini utamlazimisha?” 

Chanzo: millardayo.com