Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

P Diddy kutoshiriki Tuzo za Grammy 2024

Diddy Akabiliwa Na Msala Mwingine P Diddy

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapper kutoka nchini Marekani P Diddy ameripotiwa kuwa hatoshiriki katika Tuzo za Grammy mwaka 2024 kufuatia na kesi nyingi zinazo mkabili licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo katika kinyang’anyiro hicho.

2023 ni mwaka mbaya kwa Diddy ambapo alikabiliwa na kesi kadhaa za unyanyasaji wa kingono na makosa mwengine ya ulaghai aliyowahi kuyafanya miaka ya nyuma.

Ikumbukwe kuwa Diddy aliteuliwa kuwania Tuzo katika kipengele cha Album bora ya R&B kupitia album yake ya ‘The Love: Off the Grid’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live