Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Otile Brown: Hakuna msanii Afrika Mshariki aliyefika Kimataifa

Otile Brown Otile Brown: Hakuna msanii Afrika Mshariki aliyefika Kimataifa

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa muziki Otile Brown kutoka nchini Kenya amefanya mahojiano na kipindi cha Obinna Show Live nchini humo siku ya jana Machi 4, 2024 ambapo katika mahojiano hayo ametoa mtazamo wake na kusema Afrika Mashariki hakuna wasanii waliofika Kimataifa.

‘East Africa hakuna International Artist, sote tumefika ceiling, hakuna msanii International East Africa tuseme ukweli, tuna kazi kubwa ya kufanya, kuna watoto wamekuja juzi ambao hata sio hata rika langu kama Ruger (Nigeria), ni mtoto wa juzi lakini hakuna msanii wa East Africa anaweyeza shindana na Ruger,’ amesema Otile Brown akisimamia msimamo wake.

Una mtazamo gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live