Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ommy Dimpoz apewa Jumba la Bakhresa

Dimpoz Nyumba Ommy Dimpoz apewa Jumba na Bakhresa

Mon, 21 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Omari Faraji Nyembo "Ommy Dimpoz" tayari ameachia wimbo wake mpya unaitwa “MY QUEEN” na ameanza kutamba baada ya kuachia video yake kuwa yeye ndie msanii pekee ku-shoot video kwenye jumba lililochini ya Bakhresa Group lenye thamani ya Bilioni 30 za kitanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live