Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ommy Dimpoz akutana na mastaa wa NBA

Dimpioz Md Ommy Dimpoz akutana na mastaa wa NBA

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Lebo ya Sony Music Ommy Dimpoz amekutana na baadhi ya mastaa wanokipiga ligi ya Mpira wa kikapu ya NBA.

Ommy ameshare picha akiwa na mastaa hao baada ya kupata mualiko kutoka NBA mnamo Februari 16-18.

Wiki 77 zilizopita Ommy Dimpoz alipata mualiko pia kutoka Klabu ya Man United ambapo aliombwa kuhudhuria mechi ya klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live