Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ommy Dimpoz: Kama huna iPhone usinisalimie

Ommy Dimpoz: Kama Huna Iphone Usinisalimie Ommy Dimpoz: Kama huna iPhone usinisalimie

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki nchini Ommy Dimpoz ame-share video katika InstaStory yake akionesha simu yake mpya ya Iphone 15 na kuandika ujumbe wa matani akiwaambia watu kama hawana aina hiyo ya simu aliyonayo basi wasimsalimie.

Dimpoz ameandika;

“Kama hauna Iphone 15 1TB usinisalimie hivi kwanza hizo simu zenu hata msg zinatuma kweli?”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live