Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Olamide awaacha mbali Davido na Wizkid

4512 Dav TZW

Sat, 10 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Olamide ameamua kufanya jambo la mahusiono liwe serious kidogo huku akiwaacha mastaa kama Davido na Wizkid kwa kutofanya maamuzi magumu.



Olomide ameamua kumvesha pete mpenzi wake wa muda mrefu Adebukunmi, ambaye wamefanikiwa naye kupata mtoto mmoja.

Kupitia Instagram katika Insta Stori ya msanii huyo ameonyesha pete hiyo aliomvesha mpenzi wake.

Chanzo: bongo5.com