Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Okoh: Davido alikuwa akinipa nguo alizovaa kwa kumwandikia nyimbo

Tobechukwu Victor Okoh Adsc Tobechukwu Victor Okoh na Davido.

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji na mwandishi kutoka Nigeria Tobechukwu Victor Okoh, anayejulikana kama Peruzzi, amekubali kuwa alikuwa akipewa nguo na Davido kama malipo ya kumuandika nyimbo, nguo ambazo Davido amekwisha kuzivaa

Mkali huyo akiwa katika mahojiano baada ya kuulizwa Je, ni kweli kwamba Davido alikuwa akikulipa nguo zake ili kama malipo kuandika nyimbo ? Peruzzi aliweka wazi kuwa ni kweli.

Peruzzi amesema kuwa ameandika baadhi ya nyimbo za Davido, ikiwa ni pamoja na 'Assurance,' 'unavailable 'Flora My flower', na ngingine nyingi bila malipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live