Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ohooo! Harmonize anataka kulipua bomu soon

Ohooo! Harmonize Anataka Kulipua Bomu Soon.jpeg Ohooo! Harmonize anataka kulipua bomu soon

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wakae mkao wa kula! Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amesema muda sio mrefu kuna jambo atalizungumza.

Kupitia Instasory yake, Harmonize amesema ameona akikaa kimya uongo utageuka kuwa ukweli. Haijafahamika anataka kuzungumza nini lakini mara nyingi anaposemaga hivi Harmonize huwa analipuka kweli kweli kuhusu maadui zake kimuziki.

“Kuna uongo mwingine ukiukalia kimya unageuka ukweli! Narudi soon, kumbuka sijalewa niko serious,” aliandika Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live