Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Offset agawa nguo na Intaneti bure

Offset Jerritt Clark Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Offset

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo na huduma ya Internet.

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo na huduma ya Internet. Hata hivyo ‘Rapa’ huyo amesema kuwa amefanya hivyo kwa sababu walimuunga mkono mpango wake wa kuhamasisha vijana kufikia ndoto zao wa ‘Toyz4 the Nawf’, pia amefanya hivyo kuwatia moyo vijana na kuwaonesha kuwa ndoto zao zinaweza kutia kwa sababu unapobarikiwa unabariki na watu wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live