Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Odemba aomba Polisi itoe amri kwa Kajala arudi kwa Harmonize

Odemba.jpeg Odemba

Sat, 9 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo @miriamodemba ametoa kali ya mwaka baada ya kuiomba jeshi la polisi kutoa amri ya kwamba @kajalafrida arudi kwa mpenzi wake wa zamani @harmonize_tz

Mwanamitindo @miriamodemba ametoa kali ya mwaka baada ya kuiomba jeshi la polisi kutoa amri ya kwamba @kajalafrida arudi kwa mpenzi wake wa zamani @harmonize_tz Katika waraka ambao ameutoa mtandaoni pia amewaomba Watanzania kuacha kukaa kimya kwenye sakata hilo huku akiwataka kuchangia pesa za mabango.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live