Menu ›
Burudani
Fri, 24 May 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Msanii wa filamu Jenifer Kyaka ‘Odama’, amesema hapandi kumuona mwanawe akiingia katika masuala ya filamu.
Akizungumza Dar es Salaam, Odama amesema anatamani mtoto wake ajihusishe na masuala mengine, lakini sio sanaa hasa ya uigizaji.
“Binafsi sitaki mwanangu ajihusishe na sanaa, afanye mambo mengine, nimeigiza mama yake inatosha, yeye napenda afanye mambo tofauti na sanaa,”amesema
Chanzo: www.tanzaniaweb.live