Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nyumbani kwa Mengi, mafuriko yalivyoharibu vitu vya thamani (+video)

Video Archive
Tue, 20 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Kupitia kwenye ukurusa wa Instagram wa Jacqueline Mengi, amepost video ambayo inaonyesha namna ambavyo sehemu ya nyumba yake ilivyopata majanga ya kuingiliwa na maji kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam.

Kupitia kwenye ukurusa wa Instagram wa Jacqueline Mengi, amepost video ambayo inaonyesha namna ambavyo sehemu ya nyumba yake ilivyopata majanga ya kuingiliwa na maji kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam. Katika maneno ambayo ameyaambatanisha katika video hiyo ameonyesha hisia zake za kupoteza vitu vyenye kumbukumbu nyingi kwenye maisha yake.

Chanzo: millardayo.com