Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Nyumba yangu ina vyumba viwili nimenunua milioni 100” Lulu Diva

2384 Pjimage 1 660x400

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii Lulu Diva ambaye ameachia wimbo mpya hivi karibuni kaelezea gharama za video hiyo ambayo amesema kuwa si chini ya milioni 15 lakini pamoja na hilo kaelezea mjengo wake mpya ambao anasema kanunua milioni 100 na kaukarabati upya.

Lulu Diva amesema kuwa maisha yake anayaendesha kupitia muziki na watu wasimshangae kumuona ana gari zuri na kuishi maisha mazuri, pamoja na hilo kazungumza kuhusu uhusiano wake na msanii wa WCB Rich Mavoko kama wanauhusiano.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Lulu Diva akielezea..

EXCLUSIVE: Shilole kafunguka gharama za Gauni alilonunua Online

Chanzo: millardayo.com