Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nyumba ya kifahari yaporomoka majini

Bwawaqq (2).jpeg Nyumba ya kifahari yaporomoka majini

Tue, 8 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumba la kifahari huko Alaska Amerika Kaskazini limeporomoka kwenye Mto Mendenhall kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na barafu iliyoyayuka kutoka ziwani.

Nyumba hiyo ilisombwa na maji baada ya ardhi iliyoizunguka kumomonyoka kwa kasi kwa takribani saa sita.

Mafuriko hayo hayakutarajiwa, huku wataalam wa hali ya hewa wakitabiri uwezekano wa asilimia moja tu kutokea, na kusababisha uharibifu kwa angalau nyumba mbili, na wengi zaidi kuhamishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live