Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota ya kijana Muafrika mwenye miaka 16 yawaka Hollywood Marekani

1151 Screen Shot 2018 01 05 At 1.59.51 PM 640x400.png TZW

Fri, 5 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Abraham Nii Attah ni kijana mwenye umri wa miaka 16 akiwa na asili ya Ghana ambapo maisha yake yalifunguka baada ya kufanikiwa kushiriki katika movies tofauti tofauti nchini Marekani Hollywood.

Abraham Nii Attah alipokea tuzo ya Marcello Mastroianni 2015 baada ya kuigiza kwenye movie pendwa ya Beast of No Nation na kucheza kama mwanajeshi shupavu mtoto akiwa na muigizaji maarufu nchini Marekani Idris Elba.

Mwaka 2017 Abraham Nii Attah ameshirikishwa katika movie ya Spider Man-Home Coming na hadi sasa anaishi na kusoma Marekani.

AUDIO:Ukumbi maalum umejengwa na BASATA kwa ajili ya show za wasani

Chanzo: millardayo.com