Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa muziki wa Nigeria watumbuiza kwenye tamasha la NBA All-Stars

Nyota Wa Muziki Wa Nigeria Watumbuiza Kwenye Tamasha La NBA All Stars Nyota wa muziki wa Nigeria watumbuiza kwenye tamasha la NBA All-Stars

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: Bbc

Wasanii watatu wakubwa wa muziki nchini Nigeria siku ya Jumapili walitumbuiza wakati wa mapumziko ya NBA All-Stars 2023, ambayo ni moja ya hafla kubwa zaidi za kimichezo nchini Marekani.

Burna Boy, Rema na Tems walitumbuiza kwa zamu maonyesho ya Afrobeat kwenye kipindi cha mapumziko.

Burna Boy alitumbuiza katika tamasha hilo kwa kuipa vibao vyake kali vikiwemo Anybody, It’s Plenty, Last Last na Alone.

Chanzo: Bbc