Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nyoka mrefu zaidi duniani akamatwa

Nyoka Resss Nyoka mrefu zaidi duniani akamatwa.

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chatu wa Kiburma mwenye urefu unaokadiriwa kufikia futi 19, alikamatwa na kuuawa na wawindaji nyoka kutoka jimbo la Florida mapema wiki hii.

Jake Waleri mwenye umri wa miaka 22 na marafiki zake walipambana na nyoka huyo katika Hifadhi Kubwa ya Kitaifa ya Cypress ya iliyopo katika jimbo hilo.

Maafisa wa uhifadhi wanyamapori Kusini Magharibi mwa jimbo la Florida baadaye walithibitisha kuwa chatu huyo ndiye anayeaminika kuwa mrefu zaidi kuwahi kurekodiwa ambapo imeweka rekodi mpya ya dunia kwa nyoka kufikia urefu wa futi 19.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live