Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyimbo zangu zinaondoa stress na kuponya - Joel Lwaga

Nyimbo Zangu Zinaondoa Stress Na Kuponya   Joel Lwaga Nyimbo zangu zinaondoa stress na kuponya - Joel Lwaga

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa nyimbo za Gosper nchini, Joel Lwaga amedai kuwa nyimbo zake zinaponya watu na kuondoa stress.

Kufuatia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari msanii huyo ameeleza kuwa Mungu ana muongoza katika utungaji wa nyimbo zake na ndio maana zina ponya na kuondoa strees kutokana na ujumbe uliopo kwenye nyimbo hizo.

Ni wimbo gani kutoka kwa #Joel ukiuskiliza unakuponya?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live