Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyie Mai Zumo Anatisha Mjue

Tangalebs 9osiyDe7FwkQSbhYcKDkwtv6 Nyie Mai Zumo Anatisha Mjue

Thu, 3 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MAMA wa mtoto komediani Mai Zumo, Habiba Zumo anasema ni faraja na hatua nzuri kwa mzazi kuona mafaniko ya kipaji cha mtoto wake.

Kama utakumbuka, Mai Zumo amewahi kutisha baada ya kushinda Tuzo ya Mama’s Gala Awards kama Mtoto Mpambanaji Katika Sanaa.

“Wazazi wengi hawahafamu watoto wao ni vitu gani wanapenda hivyo unakuta vipaji vyao vinapotea au hadi aje awe mkubwa ajue ndoto yake.

“Pengine anakuwa ameshachelewa, lakini namshuruku Mungu tuligundua mapema na pengine na sisi tupo kwenye tasnia ya uigizaji, basi ilikuwa rahisi kujua kipaji cha mtoto,” anasema.

Mai ambaye sasa anasoma darasa la tatu, Mama yake anasema waliweza kugundua kipaji chake kutokana na kuonesha uwezo wa kukariri vitu kama matangazo kwenye runinga, jambo ambalo ndilo hasa linawapa wepesi kuigiza naye na sasa anazidi kufanya vizuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live