Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyashinski aitwa mahakamani kujibu yuhuma zinazomkabili

Rapper Nyashinski Nyashinski

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Milimani, Nairobi, Kenya imemuagiza Staa wa muziki #Nyashinski kutoa maelezo ya mkataba wake na kampuni ya Simu ya #TecnoKenyaLimited katika kujibu mzozo wa hakimiliki ulioanzishwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Nigeria #SamEliapendaJedidah.

Mahakama ya Milimani, Nairobi, Kenya imemuagiza Staa wa muziki #Nyashinski kutoa maelezo ya mkataba wake na kampuni ya Simu ya #TecnoKenyaLimited katika kujibu mzozo wa hakimiliki ulioanzishwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Nigeria #SamEliapendaJedidah. #Jedidah anadai kuwa #Nyashinski alitumia wimbo wao wa "Wach Wach" kwenye Tangazo la Simu ya #TecnoCamon20, akitaka 50% ya mapato yake. Kesi ya awali imepangwa kufanyika Machi 12, 2024, ambapo #Nyashinski atalazimika awasilishe makubaliano ya ubalozi na #Tecno na ripoti za mrabaha kutoka mifumo ya kidijitali kwa nyimbo zote zinazobishaniwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live