Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Novemba 18 ni siku ya heshima ya Davido

Davido Afunguka Kupata Watoto Mapacha Novemba 18 ni siku ya heshima ya Davido

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfalme wa muziki wa Afrobeats Davido amepewa siku ya heshima "Davido Day" kila itakapofika siku ya Novemba 18, pia amepewa siku ya heshima nyingine ya kumthamini Novemba 21 katika mji wa Atlanta nchini Marekani.

Heshima hiyo amepewa na Meya wa 61 wa Atlanta "Andre Dickens" pamoja na Bodi ya Baraza la Fulton, Georgia kwa kutambua mchango wake katika kiwanda cha burudani.

Hii ni baada ya staa ya huyo kutoka Nigeria #Davido kufanya Tamasha kubwa la Burudani na kuuza tiketi huko Atlanta katika ukumbi wa State Farm Arena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live