Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nokia wairejesha 6310 "jeneza" baada miaka 20

Nokia Nokia wairejesha 6310 "jeneza" baada miaka 20

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Kampuni ya simu ya Nokia imetoa toleo jipya la simu ya Nokia 6310 baada ya miaka 20.

Kampuni ya simu ya Nokia imetoa toleo jipya la simu ya Nokia 6310 baada ya miaka 20. Simu hiyo maarufu kama “Brick Phone” kutokana na muundo wake, kwa sasa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa wiki tatu, pia ina game la kisasa la nyoka pamoja na Camera na itaanza kuuzwa nchini Uingereza kwa kiasi cha Tsh. 189,000.

Chanzo: eatv.tv