Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Noel kupimwa kama anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Noel Ndale Ushoga Noel kupimwa kama anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kinondoni imeiamrisha Hospitali ya Muhimbili kuwapima watuhumiwa watatu ambao ni Noel Ndale Mushi, Kelvin Maliki Ngao na David Brayan Johnson kama wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kinondoni imeiamrisha Hospitali ya Muhimbili kuwapima watuhumiwa watatu ambao ni Noel Ndale Mushi, Kelvin Maliki Ngao na David Brayan Johnson kama wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Amri hiyo imetolewa jana Aprili 20,2023 na kusainiwa na Hakimu Mkazi J. J Rugemalila.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live