Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nje ya Tanzania na Afrika Kusini hii ni nchi Diamond anafikiria kununua nyumba

1367 Sequence 01.00 01 29 13.Still003 660x400

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao, Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB .

Ukitaja  nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzania lakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali Rwanda.

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha kutaka kuishi Kigali Rwanda tofauti na kuwa na nyumba Afrika Kusini na Tanzania Diamond amepost picha ya mji fulani na kuandika “natafuta nyumba ya kununa Kigali nyumba yangu ya baadae kwa ajili ya simbas !! familia yangu ya Rwanda mna mchango wowote??

Tale amwambia Ruby…. “Siku ukijua unaumwa nini……..”

Chanzo: millardayo.com