Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nisha afunga ndoa

Nisha Ndoa Nisha afunga ndoa

Sat, 27 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia August 26,2022 imefanyika sherehe ya harusi ya Mwigizaji na Mchekeshaji, Nisha @nishabebee ambayo imefanyika katika ukumbi ulioko Mbezi Beach Dar es salaam.

Usiku wa kuamkia August 26,2022 imefanyika sherehe ya harusi ya Mwigizaji na Mchekeshaji, Nisha @nishabebee ambayo imefanyika katika ukumbi ulioko Mbezi Beach Dar es salaam. Nisha amefanya sherehe hiyo baada ya kufunga ndoa mchana wa jana na Mumewe Salim Hassan maeneo ya Mwananyamala nyumbani kwa Kaka yake Rummy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live