Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nipo tayari kuzaa watoto wengine – Aika wa Navy Kenzo

3630 26867854 454549771608443 4132608521369812992 N TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii Aika kutoka kundi la Navy Kenzo amesema kwa sasa anajihisi mwenye nguvu kiasi kwamba yupo tayari kupata watoto zaidi.



Kauli ya msanii huyo inakuja ikiwa ni miezi miwili imepita tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza ambaye amempa jina la Gold. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika anajisikia kuwa ni msichana mdogo zaidi na mwili wake upo huru, yupo tayari kufanya kazi kwa bidii, kutengeneza muziki mzuri, kusafiri dunia na hata kutajaliwa watoto zaidi.

I feel younger, more comfortable in my body, ready to work harder, make more music, travel the world and even make more babies
Chanzo: bongo5.com