Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nipo tayari" - Barakah The Prince

Barakah 2 "Nipo tayari" - Barakah The Prince

Thu, 3 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Unaweza kusema the long wait is over, baada ya Barakah The Prince kuashiria urejeo wake na kazi mpya.

Submitted by Telesphory on Alhamisi , 3rd Jun , 2021 Msanii Barakah The Prince

The Black African Prince ame-share picha instagram akiwa location aki-shoot video na kudokeza kuwa ni wakati sahihi wa yeye kuwapa burudani mashabiki zake.

Ameandika, "nadhani nipo tayari sasa watu wangu".

Barakah amekaa kimya karibu nusu mwaka bila kuachia wimbo wake rasmi, zaidi ya kusikika kupitia baadhi ya nyimbo alizoshirikishwa.

Chanzo: eatv.tv