Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Nimepoteza beats za nyimbo zangu zote’ – Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

1254 Screen Shot 2018 01 08 At 11.41.17 AM 660x400.png TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kwenye taarifa za mitandaoni ambazo zimepewa nafasi kubwa ni pamoja na hii ya Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kutoa taarifa kwa yoyote ambaye anaweza kufanikisha kupata kwa instruments za nyimbo zake zote kwani anashindwa kufanya shows kwa hivi sasa.

Post yake ameandika>> ‘Taarifa: Nimepoteza beats (instrumentals) za nyimbo zangu zote, kitu kinachochangia nishindwe kufanya shows hivi sasa. Kama kuna yeyote anazo popote duniani naomba tuwasiliane kwa email yangu [email protected] … Asanteni sana na nitashukuru sana kwani mtanisaidia kurudi jukwaani kitu ambacho nakimiss sana’. -Sugu.

Uliicheki Hotel aliyojenga Sugu Mbeya? 

Chanzo: millardayo.com