Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Nimekaa ndani wiki 3, nimeona waliosema nina VVU” – STEVE NYERERE

1604 Oo1 660x400

Sat, 20 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 19, 2018 Muigizaji maarufu wa Bongomovie Steve Nyerere amezungumza baada ya kuugua kwa wiki tatu Steve ameeleza kuwa alichokuwa anaumwa kuwa ni miguu na siyo VVU kama ilivyokuwa inasemwa kwenye mitandao japo hashangai watu kumsema.



Steve amesema hakuna mtu wake wa karibu aliyezusha suala la ugonjwa wake bali ni mitandao tu ndo imevujisha, alipoulizwa kama Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu walioenda kumtembelea alijibu kuwa Utu haulazimishwi na kumuona mgonjwa hakulazimishwi pia.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY



Faiza kazungumza “Siongei na Sugu ila Sifurahii akipata matatizo”

Chanzo: millardayo.com