Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Nimejuta nikirudia tena labda mimi sio Mwajuma’ Shilole

2240 Shilole 660x400 TZW

Tue, 30 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shilole amesema kuwa anajuta kununua nguo online hii ni baada ya picha yake kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ikiwa imeacha baadhi ya maungo yake wazi.



Shilole hakutegemea gauni hilo lingemkaa kama lilivyokuwa limemkaa kutokana na lilivyokuwa linaonekana kwenye mtandao na kuamua kuandika kile alichojisikia kwenye mtandao wake wa Instagram.



Shilole aliandika hivi “Yaani kama ntaagiza nguo mm mtandaoni tenaaaaaaaa

Chanzo: millardayo.com