Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nimechoka kuonekana miyayusho" - Gigy Money

Gi "Nimechoka kuonekana miyayusho" - Gigy Money

Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii Gigy Money 'Mama Mayra' anasema amechoka kuonekana miyayusho kama baadhi ya watu wanavyomchukulia na kwa sasa anataka kuwa serious.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumanne , 21st Dec , 2021 Picha ya msanii Gigy Money

Gigy Money amesema hilo kwenye page yake ya Instagram kuwa kuandika ujumbe wa hapo chini.

"Maisha ni vile unaamua kuishi, ukitaka kuonekana serious au miyayusho is all on you baby, binafsi nimechoka kuonekana miyayusho niko serious kuliko akili yako inavyofanya kazi".

Chanzo: eatv.tv