Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niliwashauri Killy, Cheed kutoka Konde Gang - Harmonize

Harmonize Na Kina Cheed Niliwashauri Killy, Cheed kutoka Konde Gang - Harmonize

Sun, 20 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Lebo ya @kondegang na Staa wa Muziki @harmonize_tz ameweka wazi kwa mara ya kwanza kuwa yeye ndio aliowashauri @officialkilly_tz na @officialcheed kuondoka katika Lebo yake na kwenda kutafuta Lebo nyingine.

CEO wa Lebo ya @kondegang na Staa wa Muziki @harmonize_tz ameweka wazi kwa mara ya kwanza kuwa yeye ndio aliowashauri @officialkilly_tz na @officialcheed kuondoka katika Lebo yake na kwenda kutafuta Lebo nyingine. "Mimi sijawahi kumlipisha Msanii yeyote kuachana na Lebo kwa mfano alivyo Killy na Cheed mimi ndio niliwashauri kutafuta Lebo nyingine kwani nilikuwa naweka pesa nyingi halafu sirudishi kitu, mimi nitakuwa Brother ukihitaji chochote na sijawalipisha chochote"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live