Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nilivamiwa na watu 100 - Jaffarai

Web Jaffar.png Nilivamiwa na watu 100 - Jaffarai

Wed, 28 Sep 2022 Chanzo: Eatv

Mwanamziki wa Bongo Fleva, Jaffarai amekuwa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo mpya na kujikita katika biashara zake kwa sasa.

Jaffarai amepiga story na East Africa TV na kuonyesha ofisi yake ya kuosha magari ambayo inamuweka nje ya muziki kwa sasa.

Pia amefunguka na kuhusiana mkasa uliowahi kumkuta miaka ya nyuma kwa kuvamiwa na kundi la watu zaidi ya 100 akiwa maeneo ya Coco Beach, Dar es Salaam.

Chanzo: Eatv