Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nilimpost Ringo amekufa sababu ana sura ya kufa kufa-Makali Wenu

Nilimpost Ringo Amekufa Sababu Ana Sura Ya Kufa Kufa Makali Wenu Nilimpost Ringo amekufa sababu ana sura ya kufa kufa-Makali Wenu

Sat, 8 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Mkali Wenu amesema kwamba alitoa taarifa za kifo cha mchekeshaji mwenzake Ringo na kuzua taharuki siku ya Wajinga (Aprili Mosi).

Alisema siku hiyo alikaa akafikiri afanye kitu gani kitakacholeta taharuki na ndipo alipoona kifo cha Ringo kinaweza kushtua.

"Nikiangalia marafiki zangu wote nikaona nikimpost Harmorapa watu hawatamzingatia, nikamuangilia Ringo nikaona sawa maana ana sura ya kufa kufa, nikampost na kweli taharuki ikawa kubwa mpaka yeye mwenyewe alimuuliza mbona sielewi au nimekufa kweli nikamwambia atulie hajafa bali ni Sikukuu ya Wajinga," alisema Mkali Wenu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live