Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nilikuwa na pua kubwa sana zamani-Baba Levo

Baba Levo L Nilikuwa na pua kubwa sana zamani-Baba Levo

Thu, 1 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa wa Diamond, Baba Levo amesema, zamani alikuwa na pua kubwa zaidi ya ilivyo sasa lakini baada ya kupata hela, pua imepungua.

Baba Levo ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha shoo yao ya Mbeya iliyofahamika kama Kubwa la Mtaa ambapo Diamond pamoja na Zuchu walikuwa sehemu ya wasanii waliopafomu kunadi shoo hiyo inayodhaminiwa na Wasafi Bet.

“Mimi mwaka 2010 nilikuwa na pua kubwa sana lakini sasa hivi limeondoka lenyewe bila hata kufanya upasuaji kwa sababu ya hela,” alisema Baba Levo.

Baba Levo alisema mara baada ya kukamilisha shoo hiyo mkoani Mbeya, kwa sasa wanahamia mkoani Morogoro kwa ajili ya kufanya shoo nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live