Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nilikuwa mlevi chakari, nimeacha pombe - Adele

Nilikuwa Mlevi Chakari, Nimeacha Pombe   Adele Nilikuwa mlevi chakari, nimeacha pombe - Adele

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Marekani, Adele ameweka wazi kuachana na Pombe muda mrefu uliopita baada ya kuwa mlevi chakari.

Staa wa muziki kutoka Marekani, Adele ameweka wazi kuachana na Pombe muda mrefu uliopita baada ya kuwa mlevi chakari. Akiwa katika onyesho lake huko L.A, Adele alifunguka kuwa aliacha kunywa pombe kama miezi mitatu iliyopita huku akisema kuwa alikuwa mlevi wa kupindukia kwa miaka 20.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live