Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nilijiangalia nikaona ufupi huu sitoboi"- Ebitoke

Eb "Nilijiangalia nikaona ufupi huu sitoboi"- Ebitoke

Wed, 21 Apr 2021 Chanzo: eatv.tv

Unakumbuka Mchekeshaji Ebitoke alipotangaza kugombea kushiriki shindano la Miss Tanzania 2020, sasa msanii huyo amefunguka kusema shindano hilo lilimshinda kwani alijiangalia kwenye kioo akasema kwa ufupi alionao asingeweza kushinda.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumatano , 21st Apr , 2021 Mchekeshaji Ebitoke

Akizungumza na eNewz ya East Africa TV inayoruka kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni, Ebitoke amesema

"U-Miss ulinishinda kwa sababu nilijiangalia kwenye kioo mara nyingi nikasema na ufupi huu nitaenda kuwa miss gani 'high hills' zenyewe kutembelea shida,  kiukweli nina kasura fulani hivi ila umiss ulinishinda na sio fani yangu" amesema Ebitoke

Mengine zaidi aliyoyazungumza Ebitoke tazama hapa chini kwenye video.  

Chanzo: eatv.tv