Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nikilewa nitasema kama nimedate na Diamond - Nai

Nikilewa Nitasema Kama Nimedate Na Diamond   Nai Nikilewa nitasema kama nimedate na Diamond - Nai

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Nai amesema kuwa siku akilewa atazungumza ukweli kuhusu kuhusishwa kuwahi kutoka kimapenzi na Staa wa muziki Diamond.

Mrembo Nai amesema kuwa siku akilewa atazungumza ukweli kuhusu kuhusishwa kuwahi kutoka kimapenzi na Staa wa muziki Diamond. Hii ni baada ya shabiki mmoja kumuuliza mrembo kama amewahi kutoka kimapenzi na staa wa muziki Diamond kupitia Instastory yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live