Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nikifa msipost picha zangu mitandaoni" - Brown

Mauzo 1 Brown Mauzo.

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Kenya Brown Mauzo anasema siku akifariki hataki watu kumzungumzia au kumpost mitandaoni ili kuonesha hisia zao kama wanampenda kwa sababu hataona huo upendo ikiwa hayupo.

Brown Mauzo anasema kama kweli watu wanampenda wanaweza kumuonyesha huo upendo akiwa bado yupo hai kwa kumpigia simu au kumtumia ujumbe sio wasubiri akifariki.

"Kwa familia yangu ya mitandao ya kijamii, Nikifa msinipost kwenye mitandao ya kijamii jinsi ulivyonipenda. Kama una upendo wa dhati utanipigia/tuma ujumbe mfupi au nitumie DM sasa na uniambie unavyohisi kunihusu. Nionyeshe sasa na nipende sasa," ujumbe wa Brown Mauzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live