Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niite Boshen ashambuliwa vibaya

Niite Boshen Ashambuliwa Vibaya Niite Boshen ashambuliwa vibaya

Thu, 25 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchora tatoo wa mastaa mjini Niite Boshen amelalamika kushambuliwa na watu ambao hajawafahamu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Niite Boshen ameshea video inayomuonesha akiwa na majeraha pamoja na RB aliyofungua kituo cha polisi.

"Ndugu zangu, Jana nilipokea simu ya mteja aliyehitaji kuchora tattoo. Baada ya makubaliano, nilienda mpaka alipo. Kwa bahati mbaya ulikuwa ni mchezo wa mtu huyo, aliyetaka kunikomoa kama sio kunimaliza," aliandika Niite Boshen.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live