Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nigeria tumegomea sherehe za Uhuru kudai haki ya MohBad – Bayanni

Bayanni Nigeria tumegomea sherehe za Uhuru kudai haki ya MohBad – Bayanni

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka Nigeria, Bayanni ame-share namna ambavyo raia wa Nigeria wanajitoa katika kuipambania haki ya Msanii MohBad ambaye wanaamini kifo chake kina story nyingine nyuma yake!

Anaeleza raia wa Nigeria wamezigomea sherehe za Uhuru ikiwa ni katika kuonyesha ni kwa kiasi gani hawana furaha wakimuomboleza MohBad.

“Tunasubiri majibu ya polisi kwani walisema wiki mbili na wiki moja tayari imekatika. Sisi kule Nigeria kukitokea kitu cha kusimama pamoja tunasimama na ndio maana unaona hata uhuru hatukuona umuhimu wa kusherehekea,” alisema Bayanni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live