Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niffer amkataa hadharani X wake 'Hakunioa'

NIFFER KUMKATAA X WAKE Niffer amkataa hadharani X wake 'Hakunioa'

Sun, 13 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo mfanyabiashara na maarufu mitandaoni amemkataa live jamaa amabaye anadaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye Karia ambaye ni kinyozi maarufu kwa kusema hakuwahi kuwa mpenzi wake.

akizungumza na Wasafi TV, Niffer alisema jamaa huyo alikuwa tu mshikaji wake lakini hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.

"Hajawahi kunioa. Hakuwa X wangu yule na mimi sina X. Mimi nina mwanaume wangu kwa sasa na sio boyfriend," alisem Niffer.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live