Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niffer afunguka sababu ya kuachana na patrcik Kanumba

Niffer Patrick Niffer afunguka sababu ya kuachana na patrcik Kanumba

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Movies, Niffer ameamua kufunguka na kuanika wazi sababu za kuachana na msanii mwenzake Patrick Kanumba.

"Niliamua kujitoa kwa Patrick Kanumba kwa sababu nilikuja kugundua baadaye kumbe alikiwa ananiigizia, hakunichukulia kama ambavyo mimi nilikuwa namchukulia kwa uzito.

"Unajua mimi niko hivi, nikikupenda hata kama watu wataniambia machafu yako mimi nitakubeba hivyohivyo, lakini sasa nikiona unaanza kunifanyia hayo machafu nakukataa haraka, nilivyoona haendi kama nilivyotarajia nikaamua kujitoa haraka," amesema Niffer.

Unadhani shida ni tabia kweli au dogo hakuwa na maokoto ya kueleweka?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live