Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Niffer afunguka kutoka kimapenzi na Patrick Kanumba

Niffer Patrick Niffer afunguka kutoka kimapenzi na Patrick Kanumba

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tangu mwaka jana 2022, msanii wa Bongo Movies, Niffer alikuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na msanii mwenzake Patrick Kanumba lakini hakuna aliyeleta uthibitisho, hivyo zikabaki kuwa skendo tu.

Aliyekuja kuharibu mambo ni Mama Patrick, hivi karibuni amefanya Interview na amethibitisha kwamba wawili hawa ni wapenzi.

Baada ya kauli hiyo kutoka kwa Mama Patrick, Niffer amewaka vibaya mno, ameandika Gazeti refu sana Instagram, anadai kwamba asihusishwe na suala la kutoka kimapenzi na mtu yoyote yule, (kiufupi anamzungumzia Patrick).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live