Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nicole afunguka kuhusu kufanya sajari kubadili makalio

Nicole Berry Nicole afunguka kuhusu kufanya sajari kubadili makalio

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya fununu kwamba sajari za kuongeza makalio, matiti na mengineyo zimeanza kumletea madhara makubwa mwilini Nicole Berry na kuchangiwa pesa akafanyiwe ukarabati, socialite huyo wa Kibongo aibuka kufunguka.

"Hivi kweli mimi ndo wakuchangiwa pesa ya matibabu? Yaani watu na akili zao waache kufanyia pesa zao vitu vya maana wahangaike kunichangia pesa nikatibiwe tak*!! hamna akili nyinyi eeeh.

"Mimi ambaye nalipa zaidi ya laki nane kwa siku mahali ninapolala leo hii nichangiwe pesa? Mimi ni miongoni mwa mastaa wanaoishi vizuri Tanzania na hata nikiwa huku nje ya nchi " amesema kisha kuonheza kwa kusema.

"Nikiwa Tanzania naishi gorofani na chini nimepaki ndinga na nikiwa huku nchi za watu naishi gorofani na pia chini nimepaki ndinga, mnaoniombea niumwe mtangoja sana, viungo vyangu viko sawa havina shida puuzeni taarifa za wasionipenda," amesema Nicole.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live