Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nicki Minaj aachia mkeka wa shoo zake

Nicki Minaj Aachia Mkeka Wa Shoo Zake Nicki Minaj aachia mkeka wa shoo zake

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuachia albumu yake ya ‘Pink Friday 2’ na kufanya vizuri, sasa ‘rapa’ Nicki Minaj ameachia mkeka rasmi wa sehemu atakazozunguka na kufanya ziara ifikapo mwaka 2024.

Baada ya kuachia albumu yake ya ‘Pink Friday 2’ na kufanya vizuri, sasa ‘rapa’ Nicki Minaj ameachia mkeka rasmi wa sehemu atakazozunguka na kufanya ziara ifikapo mwaka 2024. Ziara hiyo ambayo imepewa jina la ‘Nicki Minaj Pink Friday 2 Tour’ inatarajiwa kuanza Machi mosi mwaka 2024 katika mji wa #Oakland #California na kutamatika Juni 7, Berlin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live