Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nicki Minaj: Najuta kufanya plastic surgery

Nicki Minaj Apology Retire Nicki Minaj: Najuta kufanya plastic surgery

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Nicki Minaj amesema moja ya mambo anayojutia katika maisha yake ni kufanya upasuaji (plastic surgery) wa kurekebisha muonekano wake.

Rapa Nicki Minaj amesema moja ya mambo anayojutia katika maisha yake ni kufanya upasuaji (plastic surgery) wa kurekebisha muonekano wake. Katika mahojiano na The Run-Through with Vogue, Minaj amesema anapoangalia picha zake za kitambo anagundua alikuwa sawa tu wala hakuhitaji kufanya upasuaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live